Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,206
Kama utakua kwamuda mrefu mbeya nisehemu nzuri yakuishi hasa katika mwanzo wamaisha kwakua vyakula nibei rahisi ila mazingira mazuri yakuishi unaweza ukapata kama iwambi,isyesye,forest mpya hii nikutokana Na kua nakipato angalau chamaisha(kikubwa) ila kama unakipato chakawaida sana kunasehemu zingine tofauti nahizo kulingana Na ukaribu wa eneo lako lakazi ila nisehemu ambayo haina viwanja vingi vyakutumia mshahara wako Kwa upande wamakanisa hapa ndo nyumbani kwake kifupi umefikaWakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
We sema unaenda kuandamana Mei 1, hafu kesho yake unarudi Dodoma, ila jihadhari kama unakuja leo mahoteli na gesti zote zimejaaWakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Vipi umeolewa au bado?Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Ndio kanisani uliza Jesus Victory Church au JVC ,hospital nzuri ni Ebenezer pale mwanjelwa na pharmacy au maduka ya dawa uliza maranatha misosi mingi ila hawajui kupikaWakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
beba leso au mask ya kuvaa kuzuia vumbi. kiti moto bwerere!Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
beba leso au mask ya kuvaa kuzuia vumbi. kiti moto bwerere!
Makanisa! Inakuwaje hujui wewe ni dhehebu gani! Kazi uliyotumwa inamaswali mengi kwani inahusu makanisa tu!Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Naenda Mbeya tarehe 3 ijumaa nitakuwepo huko hadi jumapili kama hutojali naomba tuonane naijua mbeya vizuri sana maana nilizaliwa hapoWakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Vipi umeolewa au bado?
We jiandae tu kisaikolojia ya kuchunwa ngozi na kukutana na watoto wakubwa (wanaume magovi) kila kona ya jiji.
eeh nitatuma maombi then lunch tukale city loungeUnataka kumuoa
Ni city pub sio city parkCity park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.
Kitimoto nenda Savoy.
Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.
Mbeya carnival supu ipo nzuri.
Accomodation popote penye ulinzi mzuri.
That's all.