Naomba kujua Job Description ya Jeshi la Polisi


HT

HT

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Messages
1,899
Likes
4
Points
0
Age
11
HT

HT

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2011
1,899 4 0
baada ya utaratibu mpya wa Mod team wa kupitia thread, niliamua kiasi kikubwa kubakia mtazamaji lakini hili limenikera kama Mtanzania kiasi kwamba ninatamani kujua job description ya Jeshi la polisi in General.
Wote ni mashahidi jinsi polisi wa nchi nyingine wanavyotenda kazi na bila unafiki jeshi letu kwa sasa ni sign of failure. Sielewi linafanya kazi kama nani na kwa maslahi ya nani.
Najua kuna watu wajuvi wa idara hii, hebu nisaidieni nipate job description ya ranking za jeshi la polisi.

mods: please, nisaidieni kwa hili msiitie kapuni hii thread please!
 

Forum statistics

Threads 1,235,504
Members 474,615
Posts 29,224,955