Naomba kujua jamani Kuhusu kuwa Mjumbe wa NEC wa CCM ni nini hasa faida.

tungibwaga

Member
Apr 1, 2012
51
11
Kuna kitabu kiliandikwa na Prof Mwandosya chenye title ya SAUTI YA UMMA NI SAUTI YA DEMOKRASIA.
Nimesoma hiki kitabu mwanzo mwisho kwa ufupi ndani ya hicho kitabu Prof ameelezea hasa issue ya Uchaguzi wa Ujumbe wa NEC na njisi walivyo mpiga vita sana wana ccm wenzake 2007.Mimi nataka kujua faida za ujumbe wa NEC maana jamaa wanafanya vita KALI SANA kuwania nafsi hiyo.
 
Tukianzia na Mwandosya yeye alipitishwa na Kikao cha NEC kuwania Urais akiwa na JK na Salim A.Salim kwenda Mkutano Mkuu asilalamike kwani Sumaye na Kigoda walianguka
M/Mkuu wapiga kura wa south corridor na nyanda za juu walimpa hazikufua dafu
NEC zamani ulipewa 110 L/Rover na Uchaguzi wake kulikuwa kuna kapu 20 toka Bara 20 Zenj 10 Majeshi 5 vijana 5 UWT Wakuu wa Mikoa Wilaya Wakurugenzi wa Mashirika walitokea hapo wabunge na wenyeviti wote wa mikoa ambapo kazi kubwa kutoa maamuzi yote ya Chama na
Wanamchagua Mgombea Urais au kumuondoa Rais (Aboud Jumbe, Kolimba)
Kikao chao ni mara moja kwa mwaka au. Dharura au mpaka kipindi cha Uchaguzi unaohusisha mpaka visiwani
Kwa sasa Wabunge hawaingii tena bali wanagombea kupitia Wilaya husika usafiri hakuna tena na posho kwa kikao ni ndogo tu
Kuna kitu wamekishtukia na nicho kilichozaa makundi baada ya 12/Novemba tutajua walivyojipanga
hivyo umechelewa
 
Back
Top Bottom