ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,711
- 5,641
Kwa wale wajuvi wa Siasa na Historia kiujumla, naomba kufahamu kuhusu Majimbo aliyowahi kugombea Rais Samia, na ilikuwa ni mwaka Gani, pia je aligombea kupitia Chama Gani
Nafahamu Rais Samia Amehudumu kama Waziri katika awamu mbali mbali za Uchaguzi. Pia Naomba kujua pia uzoefu uliojitokeza katika chaguzi hizo, ikiwezekana alishindana na nani na aliibuka na ushindibwa Kura Ngapi.
Wagombea wengine waliojitokeza kutoka ACT na vyama Rafiki vya CCM wengi wao hawajawahi kugombea nafasi yoyote ya ushindani kupitia uchaguzi wa wananchi, hivyo kama wataishinda itakuwa ni mara Yao ya kwanza