Naomba kujua hili kuhusu TANAPA

Pjmazengo

Member
Dec 20, 2019
25
16
Jamani naomba kufahamishwa je conservation officer II wa tanapa anapata safari za kikazi kama kampuni zingine mfan kama tra na zingine.

Namba kufahamishwa kwa mwenye vivid information wadau.
 
Ukishaipata hiyo kazi kwanza. Ndio uulize hayo mambo otherwise itakula kwako mkuu. Na vile safar hii kazi zinapitia utumishi. Kaa chonjo
Jamani naomba kufahamishwa je conservation officer II wa tanapa anapata safari za kikazi kama kampuni zingine mfan kama tra na zingine.

Namba kufahamishwa kwa mwenye vivid information wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaku-motivate vipi ikiwa hata kwenye shortlist hujui kama upo au haupo? Inshort hata interviews (both written and oral interviews) haujafanya? Subiri kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ngoja akakutane na mapicha picha ya SELECTED vs NOT SELECTED pale ndiyo atawakubali Utumishi na kufahamu kuwa kumbe ka neno NOT linaweza kuleta madhara kisaikolojia
 
Huyu jamaa ngoja akakutane na mapicha picha ya SELECTED vs NOT SELECTED pale ndiyo atawakubali Utumishi na kufahamu kuwa kumbe ka neno NOT linaweza kuleta madhara kisaikolojia
Kana kera kale Not selected una 50 mwenzio Selected ana 50.5😂😂 utasema Uchawi upo.
 
Back
Top Bottom