Naomba kujua gharama za kunyoosha meno

Ni vichuma vidogo sana vinavyounganishwa kwa nyaya(braces for English)..zinafungwa mara nne, juu mbili na chini mbili (quarterly) gharama yake ni laki mbili na nusu mpka tatu! Ila kufungwa kwake inategemea na dental formula ya mtu...

wengne ufungwa chini tu, wengne ufungwa juu na chini! Bima zinalipia gharama hizi so ukiwa na bima unaweza kusave cost......Kuna hsptl ya meno ipo mikocheni inaitwa Rani Dental Clinic narecommend uende pale muone doctor Rachel...wanapokea bima

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom