Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Feb 20, 2019 #1 Habari zenu waungwana, Napenda kujua bei ya Chain Saw zile za kukatia mbao je zinauzwa kiasi gani na wapi zinapatikana kwa hapa Dar
Habari zenu waungwana, Napenda kujua bei ya Chain Saw zile za kukatia mbao je zinauzwa kiasi gani na wapi zinapatikana kwa hapa Dar
K k123gan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 572 Reaction score 841 Feb 20, 2019 #2 Husqvarna 272 ChainSaw 2.8M
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,955 Feb 20, 2019 #3 Kuna mahali mpya kabisa M2 mpaka 3 ila kuna za mtumba mtaa fulani nilizishitukia zinauzwa mpaka laki 5
Kuna mahali mpya kabisa M2 mpaka 3 ila kuna za mtumba mtaa fulani nilizishitukia zinauzwa mpaka laki 5
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,406 Reaction score 9,267 Feb 20, 2019 #4 Ukishanunua usisahau kukata kibali cha kuwa nayo na kuitumia kutoka kwa watu wa Wizara ya Maliasili.
B breaky Member Joined Aug 29, 2013 Posts 79 Reaction score 26 Apr 24, 2019 #5 Hata mm nahitaji,Nairobi wanauza 1.6 tatizo ushuru kijani11 said: Ukishanunua usisahau kukata kibali cha kuwa nayo na kuitumia kutoka kwa watu wa Wizara ya Maliasili. Click to expand... Border
Hata mm nahitaji,Nairobi wanauza 1.6 tatizo ushuru kijani11 said: Ukishanunua usisahau kukata kibali cha kuwa nayo na kuitumia kutoka kwa watu wa Wizara ya Maliasili. Click to expand... Border
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,990 Reaction score 3,551 Apr 24, 2019 #6 Used from UK [emoji636] zipo, laki saba Tu
K kimachoro Member Joined Oct 28, 2018 Posts 6 Reaction score 0 May 18, 2019 #7 Write your reply...used zinapatikana wapi nahitaji wadau