Naomba kujua CV ya Spika wa Bunge la MuunganoTanzania (Bi Anne Makinda)

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,323
Kwa kweli nimekuwa nasoma kwenye mitandao mbalimbali ya habari za huko Tanzania kuhusu namna anavyoliendesha Bunge la Muungano la Tanzania na napata utata sana na maamuzi yake hususan kile kipengele cha mbunge au hata kiongozi wa Serikali akiongea Bungeni Uongo.

Wa Bodi labda niweze kujiridhisha na uteuzi wake Naomba mtu yoyote mwenye CV yake ikiwa pamoja na maisha yake binafsi basi atujuze ili tuweze kumfahamu vizuri.

naomba kuwakilisha.
 
tembelea tovuti ya bunge mkuu..utapata baadhi ya dondoo kwani wabunge wote cv zao zipo kule
 

Labda nilitumia lugha ambayo wengi wachangiaji imekuwa haijawajilia vizuri. maana yangu ni hapo nilipoRED yaani maisha yake binafsi.

Kwani kwa mujibu wa ninavyosoma kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya huko Tanzania inaonyesha huyu mama kama HANA UTULIVU.

Naomba mnijuze jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…