Naomba kujua CV ya Spika wa Bunge la MuunganoTanzania (Bi Anne Makinda) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua CV ya Spika wa Bunge la MuunganoTanzania (Bi Anne Makinda)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, Jun 15, 2011.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli nimekuwa nasoma kwenye mitandao mbalimbali ya habari za huko Tanzania kuhusu namna anavyoliendesha Bunge la Muungano la Tanzania na napata utata sana na maamuzi yake hususan kile kipengele cha mbunge au hata kiongozi wa Serikali akiongea Bungeni Uongo.

  Wa Bodi labda niweze kujiridhisha na uteuzi wake Naomba mtu yoyote mwenye CV yake ikiwa pamoja na maisha yake binafsi basi atujuze ili tuweze kumfahamu vizuri.

  naomba kuwakilisha.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  tembelea tovuti ya bunge mkuu..utapata baadhi ya dondoo kwani wabunge wote cv zao zipo kule
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,521
  Likes Received: 5,752
  Trophy Points: 280
  Mkuu utachoka
  utakuwa malumalu wacha tu
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Labda nilitumia lugha ambayo wengi wachangiaji imekuwa haijawajilia vizuri. maana yangu ni hapo nilipoRED yaani maisha yake binafsi.

  Kwani kwa mujibu wa ninavyosoma kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya huko Tanzania inaonyesha huyu mama kama HANA UTULIVU.

  Naomba mnijuze jamani.
   
Loading...