Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 May 6, 2015 Thread starter #21 Chief-Mkwawa said: Yap unapata kwa bei hio lakini most of them ni atom. Atleast celeron kidogo itafanya kazi zako. Kuijua just nenda my computer halafu right click then properties Click to expand... thanks chief
Chief-Mkwawa said: Yap unapata kwa bei hio lakini most of them ni atom. Atleast celeron kidogo itafanya kazi zako. Kuijua just nenda my computer halafu right click then properties Click to expand... thanks chief
Mlendamboga JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 671 Reaction score 348 May 6, 2015 #22 Used zipo nyingi chini ya 400,000 ukienda pale freedom communication unapata laptop za dell kuanzia 500,000 mpya kabisa wanakuaga na offer kibao pale
Used zipo nyingi chini ya 400,000 ukienda pale freedom communication unapata laptop za dell kuanzia 500,000 mpya kabisa wanakuaga na offer kibao pale
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 May 6, 2015 #23 Mlendamboga said: Used zipo nyingi chini ya 400,000 ukienda pale freedom communication unapata laptop za dell kuanzia 500,000 mpya kabisa wanakuaga na offer kibao pale Click to expand... Nilisifiwa sana kuhusu hili duka ila nilupoenda nilikuta laptop zao nyingi za kizamani/zinatumia processor za zamani. Yale maduka ya uhuru wana laptop za kisasa zaidi, zipo hadi laptop za haswell
Mlendamboga said: Used zipo nyingi chini ya 400,000 ukienda pale freedom communication unapata laptop za dell kuanzia 500,000 mpya kabisa wanakuaga na offer kibao pale Click to expand... Nilisifiwa sana kuhusu hili duka ila nilupoenda nilikuta laptop zao nyingi za kizamani/zinatumia processor za zamani. Yale maduka ya uhuru wana laptop za kisasa zaidi, zipo hadi laptop za haswell