Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Hallow, tena Habari kaka wazee na dada.
Leo nipo humu naombeni kujua makadirio ya Ruby gram 2 iliyo pure kabisa, kutoka hapa Tanzania ni kiasi gani kwa masoko yetu ya kwetu Tanzania?
Naamini nitapata majibu yalo na uhakika kwa sababu nawaamini ndugu zangu JF.....