Naomba kujua bei ya mchele mbeya

Utajuaje kama unavimba au mnapikia hapo mashineni?

Nikitaka Wa kupika home naupateje kg50 nipo DSM
 
Utajuaje kama unavimba au mnapikia hapo mashineni?

Nikitaka Wa kupika home naupateje kg50 nipo DSM
Wakikujibu jinsi ya kuupata hapa dar nami naomba unijibu kwani nahitaji sana mchele
 
Habarindugu zangu. Natumaini wote tup salama salimini. Mimi ni mkazi wa Moshi, Kilimanjaro ninaomba msaada wenu. ninatamani kuanzisha biashara ya nafaka. ninaomba tu msaada wa mtu yeyote kunipa muongozo ni vitu gani natakiwa kuanza navyo pamoja na makadirio ya kiasi cha mtaji ninao hitajika kuwa nao. Asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…