sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Mkuu naeneo ya uyoleMbeya sehemu gani mkuu, maana mchele wa kyela ndio bora zaid Tz.
Mpya =28000 debe
wa zamani =44000
Mkuu naeneo ya uyole
Mkuu nakuja inboxUyole watakuuzia mchele wa mbalali, Usangu n.k but mchele wa kyela ni bora pia bei nafuu ukilinganisha na Mbeya town
Njoo mwanza kitu cheupee 1kg=1300Tsh
[emoji3][emoji3] mkuu Kwa wakongwe wa jiji hili hatununui mabitini kwenye mizani feki. Hapo ni sehemu ya kula hela za waganda na wakenya. Nenda buswelu, igoma na kisesa uliza bei utaniambia.Acha uongo Mzee baba, mchele kilo ni 1,800. Nenda pale Mabatini kina mama wa pale wamekaza hiyo bei hakuna kushusha.
[emoji3][emoji3] mkuu Kwa wakongwe wa jiji hili hatununui mabitini kwenye mizani feki. Hapo ni sehemu ya kula hela za waganda na wakenya. Nenda buswelu, igoma na kisesa uliza bei utaniambia.
Unapigwa mkuu.mchele umeshuka bei wiki ya pili sasa
Mkuu mbona mbeya nimeukizia kwa jamaa bado upo juu hujashuka sanaUnapigwa mkuu.mchele umeshuka bei wiki ya pili sasa
Sido-Mwanjelwa mchele bei ni sh.25,000 hadi sh. 28,000 kwa kilo ishirini.Mkuu mbona mbeya nimeukizia kwa jamaa bado upo juu hujashuka sana
Ahsante mkuu maana hapo juu kuna jamaa kaniambia upo mpaka wa 44000 na niliulizia uyole wakaniambia greade A 1800 B 1650 C 1500Sido-Mwanjelwa mchele bei ni sh.25,000 hadi sh. 28,000 kwa kilo ishirini.
Duh ina maana Kilo ni kati ya 1,250 na 1,400..?Sido-Mwanjelwa mchele bei ni sh.25,000 hadi sh. 28,000 kwa kilo ishirini.
Nadhani mchele wa zamani ndio uliuzwa bei hiyo. Kwa sasa mchele mpya ni mwingi sanaAhsante mkuu maana hapo juu kuna jamaa kaniambia upo mpaka wa 44000 na niliulizia uyole wakaniambia greade A 1800 B 1650 C 1500
Duh wa zaman una ubora sana au kuliko mpya au kutokana na cost za storageNadhani mchele wa zamani ndio uliuzwa bei hiyo. Kwa sasa mchele mpya ni mwingi sana
Mkuu wiki 1 iliyopita nilikuwa Kyela nilijaribu kuulizia kwa wauzaji nikapewa hizo beiNadhani mchele wa zamani ndio uliuzwa bei hiyo. Kwa sasa mchele mpya ni mwingi sana
Unanukia?Njoo mwanza kitu cheupee 1kg=1300Tsh