Naomba kujua bei ya mchele mbeya

Naomba kujua bei ya mchele mbeya

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
1,052
Reaction score
1,306
Habarini wakuu

Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu naomba kwa mtu anayefahamu au yupo mkoa wa mbeya hasa pale uyole naomba anifahamishe bei ya mchele kuanzia grade 1 mpaka 3 kwa sasa

Angeniambia bei ya mashineni ningeshukuru sana
 
Mbeya sehemu gani mkuu, maana mchele wa kyela ndio bora zaid Tz.
Mpya =28000 debe
wa zamani =44000
 
Kwahiyo mm huwa wananipiga hiyo bei sababu natokea huko?
mkuu Kwa wakongwe wa jiji hili hatununui mabitini kwenye mizani feki. Hapo ni sehemu ya kula hela za waganda na wakenya. Nenda buswelu, igoma na kisesa uliza bei utaniambia.
 
Unapigwa mkuu.mchele umeshuka bei wiki ya pili sasa
 
Sido-Mwanjelwa mchele bei ni sh.25,000 hadi sh. 28,000 kwa kilo ishirini.
Ahsante mkuu maana hapo juu kuna jamaa kaniambia upo mpaka wa 44000 na niliulizia uyole wakaniambia greade A 1800 B 1650 C 1500
 
Nadhani mchele wa zamani ndio uliuzwa bei hiyo. Kwa sasa mchele mpya ni mwingi sana
Mkuu wiki 1 iliyopita nilikuwa Kyela nilijaribu kuulizia kwa wauzaji nikapewa hizo bei
 
Mchele mpya ukipikwa hauvimbi lakini wa zamani unavimba
 
Back
Top Bottom