Naomba kujua bei na mahala panapo uzwa chalk mould.

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa bei ya chalk mould naomba anifahamishe. Lkn pia nitafurahi kama utanijia maduka na mitaa zinapo uzwa.

Natanguliza shukurani.
 
Duuh! Jamani wanajf hakuna anyejua hii kitu? Tangu nipost huu Uzi hakuna hata mmoja aliyenipa jibu!!!? Wote mnachingulia na kupita!!? Please naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom