Naomba kujibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujibiwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Hassani, Apr 20, 2010.

 1. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Hivi ni nini maana ya mwanasheria?.Je kuna kiwango cha elimu mtu anatakiwa afikie katika hiyo sheria ili aitwe mwanasheria?,Je watu wote wanaofanya kazi katika field hiyo ya sheria hata kama wana basic certificates ni wanasheria?..Naombeni kufafanuliwa kwa yeyote anayejua hili
   
Loading...