Naomba kuijua Software inayotumika Kuflash simu

Naomba kuijua Software inayotumika Kuflash simu

Msaada tafadhali, nimekwama kabisa kupata bootkey ya hii simu ili nitumie miracle box au gsm alladin ku unlock, ni itel it 2160 ya batani. Pia ni nilitaka nijaribu kutumia SP flash tool na spd research tool lakini nimeshindwa kupata pac file. Mwenye kuweza kunisaidia tafadhali
 
Back
Top Bottom