Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,658
- 287,429
Udom?kahitimu mwaka juzi shahada ya uhusiano wa kimataifa udom mwaka juzi
Bungeni kuna watu wawili pekee kupata historia za elimu zao ni kazi sana Mbowe na Nkamia,wengine wote zinajulikana mf Kibajaji ,Musukuma na Kubenea ukiwaambia kuspell Comprehensive au waachie ubunge watachagua kuachia ubunge
Tovuti ya bunge ambalo spika wake ni Job Ndugai usiiamini sana , lolote laweza kutokea .Website ya Bunge ulimkosa humo!?
Bavicha mkibanwa na tumbo la kuhara mnakimbilia kutafuta cv za watu.Ninachokijua ni kwamba huyu ndiye mbunge wa jimbo duni la Chemba mkoani Dodoma , na aliwahi kuwa kiongozi wa timu ya soka ya Simba ya jijini DSM , aliwahi pia kupiga deiwaka BBC , japo alitaka kudanganya umma kwamba aliajiriwa , hata hivyo UKAWA wakamstukia bungeni.
Mwenye mtiririko wake wa elimu na kazi zake atuwekee hapa ili tumjue ili tupate kumjadili kwa haki .
Mkuu jikite kwenye mada husika .Bavicha mkibanwa na tumbo la kuhara mnakimbilia kutafuta cv za watu.
Hebu weka kwanza cv ya Mbowe kabla hujatafuta cv za wabunge wa chama kisichokuhusu
Nje ya mada .WEKA KWANZA CV YA MBOWE
Kinatakiwa kifungwe. Wahitimu wote wa hiki chuo wana gpa za 4.9 lakini hawawezi kuandika sentensi ya kiswahili iliyonyookaUdom?
Hivi bado kipo hiko chuo? Sijawahi ona mhitimu wa Udom alie smart