M mandigo Member Joined Jul 29, 2026 Posts 6 Reaction score 0 Jul 29, 2026 #1 Naomba kufahamu kwa undani kuhusu wanawake wa kinyantuzu kutoka bariadi simiyu
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,323 Reaction score 96,878 Jul 29, 2026 #2 mandigo said: Naomba kufahamu kwa undani kuhusu wanawake wa kinyantuzu kutoka bariadi simiyu Click to expand... Sijui mkuu
mandigo said: Naomba kufahamu kwa undani kuhusu wanawake wa kinyantuzu kutoka bariadi simiyu Click to expand... Sijui mkuu
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,872 Reaction score 24,475 Jul 29, 2026 #3 Wachawi, hao wanawezana na wasukuma wenzao wa bariadi na Shinyanga. Ila kwenye kazi wako vizuri (Sio wavivu) na usione mashamba yana nawiri na mavuno makubwa hahaha.....kuna watu wanabebwa usiku na kwenda kufanya kazi mume akiwa amelala fofofooo
Wachawi, hao wanawezana na wasukuma wenzao wa bariadi na Shinyanga. Ila kwenye kazi wako vizuri (Sio wavivu) na usione mashamba yana nawiri na mavuno makubwa hahaha.....kuna watu wanabebwa usiku na kwenda kufanya kazi mume akiwa amelala fofofooo
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,335 Reaction score 18,388 Jul 29, 2026 #4 Ni warembo sana
Kubwa la Maadui JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 7,930 Reaction score 15,672 Jul 29, 2026 #5 Awe mzur awe mbaya Awe na tabia nzur au mbaya Jambo ni moja tu kwa utakula na wenzio
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,291 Reaction score 46,025 Jul 29, 2026 #6 Wana mbunye, hilo ndilo ninalofahamu mkuu