mwanasociety
Member
- Aug 5, 2011
- 11
- 0
Naomba kujua viwango vya mishahara tanzania postal bank,ususani kwenye cal centre controlor
Duuuuuh ni kweli wakuuu mbona sehemu zingine hawana wateja sana, au sababu ni ya serikali so wanalipa tu.Laki 2.5 pesa za kitanzania.
mshahara ni tsh 1,065,000/= per month that's the range