Naona hujapata majibu ya kutosha. Acha niongeze na langu.Tafadhari nijuzeni ubora wa gari aina ya Subaru Forester
Kwanini subaru zina makelele...ndio utamu wake au?Tafadhari nijuzeni ubora wa gari aina ya Subaru Forester
Mimi ninaweza kukuletea hio gari kwa gharama nafuu kabisa.Wakuu kuna kampuni iko Japan inaitwa Royal Trading, wameshanitumia invoice nilipie Forester Subaru ya mwaka 2003, changamoto ni kwamba hawana wakala Tanzania kwa sasa, hivyo inaniwia vigumu kuwaamini, kwa anayewajua msaada kama ni kampuni inayoaminika
Natanguliza shukurani
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndo umeweka link ya maana.
Yes, kabisa
we jamaa wewe hadi nikuolee dadako ndio utaniheshimLeo ndo umeweka link ya maana.
Nina makaka tu, lada wao ndo wakuoe, nitakuheshimu kama utakubali nikupe mmoja!!we jamaa wewe hadi nikuolee dadako ndio utaniheshim
Mmefikia huko tenaNina makaka tu, lada wao ndo wakuoe, nitakuheshimu kama utakubali nikupe mmoja!!
Mkuu kwanini umesema hvyo?Kama Una mawenge bado kijana wa masifa mengi wachana nayo itakutindua meno yote kama sio kukufanya mlemavu wa maisha pasina kukuua
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Haitakagii maseke mingiii utaishia kupata hasaraa isipokuumiza wewe binafsiMkuu kwanini umesema hvyo?