Naomba kufahamu kuhusu Wi-Fi

Naomba kufahamu kuhusu Wi-Fi

itakuwa vyema zaid kma kila mtua akajieshimu mwenyew na kukichunguza kitu anachotaka kukifanya kbla hata ya kukifanya sometimes unaweza ukaona unapatia kumbe we ni wa mwisho kupanda gari mwisho wa siku unajilaumu ningejua ningewahi ili nipate siti ...SIDHANI KMA KUNA WAKAT WA KUZINGUA WAKAT HAT ANAEHUSIKA HATAKI KUZINGULIWA...u re grown up guys hat aliyeweka JF JOKES alikuwa anajua haya yatakuwepo hvy ni vyema kuwapa nao nafas ili walete hzo jokes ssa itakuw hajabu sas au utakuwa mtu mjinga ukiacha gari linakuusu na kupanda ndege wakat unajua kbisaa safari yako inausisha gari (et nimejisahau) ...ACHENI MAMB YA KITOTO BANAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Ni kweli kabisa!
Wakati mwingine usiwe mvivu wa kuandika sawasawa!
 
Ok, we uliesoma sana ungeingia Google kutafuta WiFi usingekuja kutuchosha huku. Inaonesha elimu yako ya technical haijakusaidia hivyo hata wewe ni mbumbu zaidi yabgu.
Acha kupanic kwanza hilo neno la mwisho unamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom