Ni moja kati ya simu zenye uwezo mkubwa sana wa kusukuma mwenendo mzima wa katika kile unachokitaka katika simu, na kama ni mpenzi pia wa picha nzuri basi hapo napo utakuwa umefika, na kwa upande wa battery kukaa na moto inategemea tu na matumizi yako haswa kwa upande wa internet. Changamoto kubwa tu ni kwa endapo itatokea umeiangusha kioo kikaharibirika, au ukaharibu charger basi jiandae tafta hela ya gharama za kununulia tecno y3 tatu ili iweze tengemara.Waungwana naomba kuuliza juu ya iPhone 6
Naomba kujua maximum ya muda wa kukaa na chaji
Na changamoto za hii hii iphone
Asanteni sana


Ni moja kati ya simu zenye uwezo mkubwa sana wa kusukuma mwenendo mzima wa katika kile unachokitaka katika simu, na kama ni mpenzi pia wa picha nzuri basi hapo napo utakuwa umefika, na kwa upande wa battery kukaa na moto inategemea tu na matumizi yako haswa kwa upande wa internet. Changamoto kubwa tu ni kwa endapo itatokea umeiangusha kioo kikaharibirika, au ukaharibu charger basi jiandae tafta hela ya gharama za kununulia tecno y3 tatu ili iweze tengemara.
😂😂 hapana hapo nimepigia hesabu pamoja na chaja 😂😂Yani kioo chenyewe sio amoled alaf bei yake iwe ya y3 tatu? Acha utan basi![]()
Bado mbona zinatengenezwa tu. Kwa sababu kama wangeacha tengeneza zingekuwa zishaisha. Lazima waendelee tengeneza kulingana na mhitajiNa Mimi nauliza: Hizi simu bado zinatengenezwa kiwandani au,ni zile zile za 2013 hazijaisha?
IPhone 6 ndo simu iliyouzwa zaidi
259KHivi kwa sasa hizi simu dukani unaweza kuipata kwa pesa ngapi..
Kariakoo au. Shukrani mkuu kama ni bei ya mpya maana juzi kati tu nilitaka kutoa 250K kuchukua used.259K
Mpya 400 kamili..simu peke yake bila chochote(Accessories) unaipata kwa 380,nimekupa bei za Kariakoo sehemu nyingine inaweza kuwa tofauti.Kariakoo au. Shukrani mkuu kama ni bei ya mpya maana juzi kati tu nilitaka kutoa 250K kuchukua used.
Aisee walijitahidi kutoa toleo lililodumu muda mrefu, tangu 2014.Bado mbona zinatengenezwa tu. Kwa sababu kama wangeacha tengeneza zingekuwa zishaisha. Lazima waendelee tengeneza kulingana na mhitaji
Hazitengenezwi mkuu, Ni zile zile za zamani.Na Mimi nauliza: Hizi simu bado zinatengenezwa kiwandani au,ni zile zile za 2013 hazijaisha?
IPhone 6 ndo simu iliyouzwa zaidi
Basi walitoa nyingi sana maana ni miaka mi5 sasa bado zinauzwa tu, na % kubwa ya iphone zinazouzwa hapa bongo ni iphone 6. Nadhani sababu ni bei nafuu. Kwa sababu ukigusa iphone 7 na kuendelea lazima uwe na milioniHazitengenezwi mkuu, Ni zile zile za zamani.
Ni used mkuu ambazo zimeshatumika ndio zinazouzwa Huku.Basi walitoa nyingi sana maana ni miaka mi5 sasa bado zinauzwa tu, na % kubwa ya iphone zinazouzwa hapa bongo ni iphone 6. Nadhani sababu ni bei nafuu. Kwa sababu ukigusa iphone 7 na kuendelea lazima uwe na milioni
Mpya 400 kamili..simu peke yake bila chochote(Accessories) unaipata kwa 380,nimekupa bei za Kariakoo sehemu nyingine inaweza kuwa tofauti.
Umenivuruga kabisa mkuu, coz bado sijaamua ninunue ipi kati ya Samsung A30 na Iphone 6 PlusKama unataka simu kwa ajili ya urembo chukua apple lkn kama unajua unataka simu kwa ajili ya kipigia kazi mtaani na kutukia app nyingi tafuta Android hasa samsung kiliko apple.Kuna samsung series za A10,20,30,40,50 pia kuna m20.... hatari
Yani kioo chenyewe sio amoled alaf bei yake iwe ya y3 tatu? Acha utan basi![]()
Achana na Samsun itakusumbua.nunua iPhoneUmenivuruga kabisa mkuu, coz bado sijaamua ninunue ipi kati ya Samsung A30 na Iphone 6 Plus
Mwenye ushauzi plz