azimio ernest Member Jun 6, 2017 45 12 Jun 11, 2017 #1 Nataka kujua kuhusu shule hii na michepuo yake je ni mpya au la
M MZEE RAZA JF-Expert Member Feb 19, 2015 3,463 2,446 Jun 11, 2017 #2 Ipo Kijijini,ni mpya kwa upande wa advanced level, bora uhame tuu
L Lilian kidolezi New Member Jul 7, 2017 2 2 May 16, 2022 #4 Mwanangu kapangiwa Nasibugani sec school A level je shule ipoje?
L Lilian kidolezi New Member Jul 7, 2017 2 2 May 16, 2022 #5 Nahitaji kumhamisha mtoto kwenda shule nyingine A level nifate utaratibu Gani?