specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
Habari wana JF.
Naomba kusaidiwa kwa kupewa majibu ya swali hili.....
★★
Hivi mtu aliyehitimu degree ya BUSINESS MANAGEMENT au BBA-HRM,akisomea PGD (post graduate diploma ) ya Accounting au PGD ya Procurement anakuwa amepata sifa ya kuanzia final stage (E & F) kusoma CPA au CSP respectively? Au nilazma asome degree yakwanza ya Accounting. Au Procurement ndio apate sifa zakuanzia stage E&F?