M my king Member Jan 22, 2014 48 9 Dec 17, 2018 #21 Victor wa happy said: Mkuu kule Ni milimani lakini panafikika vizur tu Unataka uanze kulitumia lini mkuu Click to expand... Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi
Victor wa happy said: Mkuu kule Ni milimani lakini panafikika vizur tu Unataka uanze kulitumia lini mkuu Click to expand... Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi
Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Jul 26, 2013 1,013 1,634 Dec 17, 2018 #22 Unataka shamba maeneo gani? my king said: Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi Click to expand...
mosabiy JF-Expert Member Jul 3, 2017 2,501 1,902 Dec 17, 2018 #23 Mkulima na Mfugaji said: Unataka shamba maeneo gani? Click to expand... Kwa muheza yanapatikana?
Emmanuel TM Member Sep 25, 2017 67 88 Dec 20, 2018 #24 Victor wa happy said: Fika muheza ndani ndani kuna kijiji kinaitwa mashewa mashamba ni bei rahisi tofauti na yaliyopo barabara kuu ya Tanga _segera Click to expand... Yanaanzia bei gn mkuu
Victor wa happy said: Fika muheza ndani ndani kuna kijiji kinaitwa mashewa mashamba ni bei rahisi tofauti na yaliyopo barabara kuu ya Tanga _segera Click to expand... Yanaanzia bei gn mkuu
Emmanuel TM Member Sep 25, 2017 67 88 Dec 20, 2018 #25 Na vipi kilimo cha katani kwa anayekifahAmu vzur msaada wa details