Unasoma hapo au una mpango wa kusoma?...Habari wanajf! Naomba kufahamu kama TIA tawi la Dar ( Kurasini) kama wanatoa fungu (fedha) la field ama la kwa mwaka wa pili, Accounting kwa mwaka huu, kwa wanachuo wenye mkopo wa asilimia 80. Mwenye uelewa wa hili tafadhali nijuze.
Nimeambiwa na mtu kuwa mwaka jana na mwaka huu TIA hawajatoa hela ya field, nataka reality.Unasoma hapo au una mpango wa kusoma?...
Kwenye kupata mkopo wamekuandikia utapata sh ngapi kwenye mafunzo kwa vitendo chuo aihusiki na iyo Bali body ndo inakupa