ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,297
- 31,703
Straight kwenye point leo nlikua nafanya usafi nyumbani kwangu nikakutana na hawa wadudu ( kwenye picha hapo) awali nilidhani kama mbegu za either maboga au matunda mengine jamii hio baadae nikagundua wana tembea nme attach video hapo chini, naomba kufamishwa ni wadudu gani hawa na hawana madhara kwa binadamu?