bei kubwa sana mkuu hiyo ni bei ya toyota costaBila shaka hii ni basi, zinatembea mil 45-60
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Daaaah , ahsante kwa ushaur... Kwa hiyo bei mbona ipo juu sana... Bora Toyota coaster kama ndio hivyo... Kwa hapa mby hizo Mitsubishi rosa ndo hbr ya mjin kwa shughul za daladala.. Ndo maana nikaomba kujuaKuna mtu alinunua hadi usajiri inaingia road ilimtoka milion 55 ila siyo gari zuri sana kwa trip za town Spair zake ni bei sana maana zipo chache afu zinapenda kusumbua pump
Mitsubishi rosa ndo iligharimu 60?kuna shule walituchangisha mpya kabisa ilikuja kwa mil.60
Mkuu hata 50 usilipe. Bora ununue Costa.Daaaah , ahsante kwa ushaur... Kwa hiyo bei mbona ipo juu sana... Bora Toyota coaster kama ndio hivyo... Kwa hapa mby hizo Mitsubishi rosa ndo hbr ya mjin kwa shughul za daladala.. Ndo maana nikaomba kujua
Post sent using JamiiForums mobile app
Indeed thanks sir.... Kwa hiyo nibebe tu hiyo hiyo Mitsubishi rosa??Uzuri wa Rosa ile ni jamii ya canter kwaiyo kama upo mkoani afu kuna miinuko miinuko ndo inafaa maana ina nguvu hiyo bus tofauti na coaster kama ni mbeya Chukua Rosa maana ni tofauti na Dar gari inakuwa inapiga trip nyingi kuliko uwezo wake Rosa ni nzuri kwa mikoani kutokana na miinuko kwa coaster itachoka mapema ASANTE am talking according to my experience
Indeed thanks sir.... Kwa hiyo nibebe tu hiyo hiyo Mitsubishi rosa??
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Habari,Sorry ndugu zangu naomba kuuliza anaejua bei ya Gari Mitsubishi Rosa (used) but not in Tanzania kwa showroom za Dar?? View attachment 542131
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Rosa ni ceap 35 mpaka 40 unapata, coaster ni ghali ukilinganisha na rosa.Sorry ndugu zangu naomba kuuliza anaejua bei ya Gari Mitsubishi Rosa (used) but not in Tanzania kwa showroom za Dar?? View attachment 542131
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app