Mkuu bei ya sasa hivi ipoje mashambani na masokoni mjiniIliki mbichi inauzwa kwa debe tsh 25000 mpaka 22000.....
Ova
Hii ni laki mbili na nusu au elf ishirini na tano?Iliki mbichi inauzwa kwa debe tsh 25000 mpaka 22000.....
Ova
Duh elfu ishirini na tanoHii ni laki mbili na nusu au elf ishirini na tano?
Kwa debe!Duh elfu ishirini na tano
Ova
Iliki kwanza sahv ngumu upatikanajiKwa debe!
Mkuu vp huko lutindi bei debe bei ganiIliki kwanza sahv ngumu upatikanaji
Maana msimu ushaishiaaa
Debe iliki mbichi wanauza 32000/
Ova
Debe wanauzaga iliki mbichi ambayo sahv ni 32000Mkuu vp huko lutindi bei debe bei gani
Tatizo bongo tunalaliana Sana masokoni #ukitaka kufaidika kauze comoro mkuuIliki ni moja ya viungo ghali sana duniani ukiondoa saffon na vanilla. Ilikuwa pia ni antibiotic kwa wale wenye vifua vya mshipa kule milimani wanajua hili.
Bei ya debe kwa 32,000 haijatendewa haki.