Mkuu Jile,actually it went like this:waliompendekeza hawajakosea kwani waliangalia kwa tz kanumba yuko juu katika fani ya uigizaji hivyo nategemea kwa mtu yeyote hata wewe ungeambiwa hata kabla hajaondoka kuwa kanumba kachaguliwa nadhani ungemkubali kwani ni wazi kati ya macerebrity wa bongo yumo na yuko juu ila kajiangusha mwenyewe kashindwa kutofautisha maigizo na hali halisi.Pengine kwa kuwa amefunga maana nasikia aliuzwa iwapo ni mfuasi wa dini ya kiislamu yeye alisema am closing(yaani am fasting) hapo napo kama kweli katuabisha kinoma.Kajiangusha mwenyewe ndoja tusubiri anaweza kujirekebisha na kujinasua......
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
waliompendekeza hawajakosea kwani waliangalia kwa tz kanumba yuko juu katika fani ya uigizaji hivyo nategemea kwa mtu yeyote hata wewe ungeambiwa hata kabla hajaondoka kuwa kanumba kachaguliwa nadhani ungemkubali kwani ni wazi kati ya macerebrity wa bongo yumo na yuko juu ila kajiangusha mwenyewe kashindwa kutofautisha maigizo na hali halisi.Pengine kwa kuwa amefunga maana nasikia aliuzwa iwapo ni mfuasi wa dini ya kiislamu yeye alisema am closing(yaani am fasting) hapo napo kama kweli katuabisha kinoma.Kajiangusha mwenyewe ndoja tusubiri anaweza kujirekebisha na kujinasua......
''Mvumilivu hula mbivu.....ila mvundika mbivu hula mbovu''
Is this for real or those kinnd of joke?Mbona huwa anaonekana mjanja kumbe ni viwanja vya uswahilini!Kazi kweli kweli!Mkuu Jile,actually it went like this:
Big Brother: "Hallo Kanumba,why are you not eating?
Kanumba: "I am closing this month.i will open in the evening when i futari"
Mkuu Jile,actually it went like this:
Big Brother: "Hallo Kanumba,why are you not eating?
Kanumba: "I am closing this month.i will open in the evening when i futari"
Tumejadili sana kwenye thread husika. LOL. OMG!!!