Philemon38
Member
- May 30, 2018
- 74
- 33
Kuna cozi mpya imenzishwa Arusha technical college mwaka jana ambayo Ni "Pipe works,oil and gas engineering", Kwa nchi yetu Ni chuo cha kwanza kutoa hiyo course kwa ngazi ya diploma, SWALI, Je wanaochaguliwa under private sponsorship kuna ufadhili wowote kutoka serikalin? Pia je kuna uhakika wa ajira kwa nchi yetu baada ya Masomo? Asante