Naomba kufahamishwa wanaponunua Silver

Naomba kufahamishwa wanaponunua Silver

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Habari wanajamvi....naomba msaada kujua wapi ninaweza nikauza silver maana nimejaribu kuzurura posta ila wote wananiambia hawanunui silver.Yoyote anaejua wapi wananunua silver naomba anisaidie.
Kama yupo humu anaehitaji anicheki 0763969066
 
Habari wanajamvi....naomba msaada kujua wapi ninaweza nikauza silver maana nimejaribu kuzurura posta ila wote wananiambia hawanunui silver.Yoyote anaejua wapi wananunua silver naomba anisaidie.
Mbona kama unazingua umesema unauza Silver then unapotea
 
Oi mkuu hiyo silver ni Bracelet au cheni ya shingoni?

ina Gram ngapi naitaka
 
Back
Top Bottom