upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,072
- 4,482
Aanze kulindwa kama wale kina faru John mara Ndugai,huyu ni muhimu zaidi.Universal donor. Watu muhimu sana nyie na mpo wachache sana katika jamii zetu.
Jilinde mkuu maana unaweza kuja kutusaidia baadae..