Naomba kufahamishwa majina ya vitabu vya kiada vya darasa la nne na la tano

markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
826
846
Habari wanajf

Ninataka kuwanunulia watoto wangu vitabu hivyo ili niende sawa na mwalimu wao shuleni ninapowasaidia nyumbani ila sivijui majina nilienda bookshop kuulizia nao wakawa hawana uhakika wao wanasoma shule za msingi ya serikali
 
Back
Top Bottom