Naomba kufahamishwa kuhusu ya Bachelor Degree of Freight Clearing and Forwarding

Mercenary Army

JF-Expert Member
Jun 2, 2017
269
603
Wakuu katika kusoma kwangu guidebook ya TCU nimeiona kozi tajwa hapo juu katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Mwenye taarifa zaid juu ya hii kozi anisaidie labda kuhusu ajira zake au kujiajiri. Je, fursa zipo kweli ili niweze kufanya mpango nikasome kozi hiyo?

Natanguliza shukrani wakuu. Karibuni kwa mawazo chanya na hasi juu ya kozi hiyo.

Asanteni.
 
Inahusu kupakua na kusafirisha mizigo hasa bandarini. Utakuwa unashugulika na kuclear mizigo ya bandarini, airports etc
 
Tra forodhani patakuhusu nakuonea wivu utapata kitengo chenye mkwanja,
Ila interview ya TRA nyomi lake ni noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…