Naomba kufahamishwa kuhusu Pump ya maji

Naomba kufahamishwa kuhusu Pump ya maji

Naomba elimu juu ya water pump nzuri za kutumia diesel na petrol. Ziwe na uwezo wa kusukuma zaidi ya mita 300

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Hakuna pump kama hio ya matumizi binafsi. Hizo pampu za dizel na petrol ni kwa ajili ya surface pumping zaidi na sio ku-pump eti maji yalioko futi 1000 (300meters) chini.
 
Hakuna pump kama hio ya matumizi binafsi. Hizo pampu za dizel na petrol ni kwa ajili ya surface pumping zaidi na sio ku-pump eti maji yalioko futi 1000 (300meters) chini.
Kwahiyo surface pumping zipo? Na Ni kwa Bei gani?
 
Shida yangu mpira wa meter 100 upatikanaj wake ukoje na kutofautisha fake na original
 
Shida yangu mpira wa meter 100 upatikanaj wake ukoje na kutofautisha fake na original
Ukitaka mipira mizuri pata ya canvas ya 30 meters, Huwa ipo kama ya zimamoto.. ila jiandae kibudget maana Iko juu bei ..
 
Back
Top Bottom