Naomba kufahamishwa kuhusu Mbeya.

Naomba kufahamishwa kuhusu Mbeya.

Viwanja kama wa kujirusha
1.greenlounge
2.city pub
3.club maisha
4.pamoz
5.......iko club moja pembeni ya pamoz ambayo ukuta upande wa pili ni kanisa...kwa hiyo pale upande mmoja mnakesha mkimuasi Mungu na upande wa pili wanakesha wakimsifu....jina limenitoka kidogo
6.octopus..siku hizi inaitwa nn tenaaa??! Pale pembeni ya airtel....agghh nishalewa mie kumbukumbu nehiii
 
Back
Top Bottom