Naomba kufahamishwa kuhusu Kagango sec school

chiddy boy

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
86
Reaction score
25
Wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii shule iliyoko Kagera wilaya ya Biharamulo, katika swala la mazingira, taluuma na pia miundombinu ya umeme kwaajili ya kujisomea na pia maji.

Nawasilisha kwenu wakuu kwa maoni yenu
 
Wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii shule iliyoko kagera wilaya ya biharamulo,katika swala LA mazingira,taluuma na pia miundombinu ya umeme kwaajili ya kujisomea na pia maji,
Nawasilisha kwenu wakuu kwa maoni yenu
Ipo Biharamulo town, nusu kilometer toka stand kuu ya mabasi. Kwa upande wa advanced level inafanya vizuri sana.

O'level ni mchanganyiko me na ke ila A'level ni madume tupu. Umeme na maji vipo, hali ya hewa ni nzuri na Ukitaka warembo utajichagulia mmoja madarasa ya O level.

Haya ni matokeo yao ya mwaka jana
 
Ahsante mkuu kwa detail yako nmekupata
 
Watoto mnaoenda kusoma kasomeni kwa bidii msiende kuendekeza ya mabraza men mara mademu na kushndana kupost.... Hayo ndo nayajua khs hyo shule
 
usiwe na shaka kabsaa,umechaguliwa shule iliyopo ktk mazingira mazuri ya kiofisi(halmashauri) na usafiri(stendi) kuliko aliyechaguliwa biharamulo sec...
 
usiwe na shaka kabsaa,umechaguliwa shule iliyopo ktk mazingira mazuri ya kiofisi(halmashauri) na usafiri(stendi) kuliko aliyechaguliwa biharamulo sec...
Ahsante mkuu nimekupata,nnanza kuipatia picha
 
usiwe na shaka kabsaa,umechaguliwa shule iliyopo ktk mazingira mazuri ya kiofisi(halmashauri) na usafiri(stendi) kuliko aliyechaguliwa biharamulo sec...
Ahsante mkuu nimekupata,nnanza kuipatia picha
 
mkuu kwan ww hujasoma mbona wanafnzi simu wanazo shuleni
Enzi nilizosoma mimi hakukuwa na simu za mikononi, tulikuwa tunawasiliana kwa njia ya barua tu na pesa za matumizi na nauli tulikuwa tunatumiwa kwa njia ya EMO, TMO na EMS kupitia posta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…