Simaanishi kumtafuta mkuu ila nahisi kutumika jina la watu kimakosa huwezijua ni mtu wa aina gani na ikitokea pametokea yale ya vyeti feki na akakutwa dadaangu panakaaje hapo..?Kwahiyo majina kukaribiana tu unataka umtafute huyo bidada?
Inawezekana ni kama unavyosema, ni hayo mambo ya nyeti feki.Simaanishi kumtafuta mkuu ila nahisi kutumika jina la watu kimakosa huwezijua ni mtu wa aina gani na ikitokea pametokea yale ya vyeti feki na akakutwa dadaangu panakaaje hapo..?
Tunakaa miji tofauti na huyu Dada Rabia na punde nimefafanuliwa kuwa kumbe aliacha shule darasa la sita kwa matatizo yao wanawake ila hapa nahisi kama imetumika hiyo fulsa kwa kuwa hamna muhitimu mwingine mwenye cheti mfano na jina kama hilo alilopora na ikafanywa namna ya kubadili hiyo herufi moja wasiwasi wangu tusije kuchafuliana majina ya watuInawezekana ni kama unavyosema, ni hayo mambo ya nyeti feki.
Kuna mwalimu wangu aliwahi kunambia kuwa jina lake lilichuliwa miaka hiyo baada ya kuwa amemaliza fm4 akapewa mtu mwingine ( bila ridhaa yake) na alisema hivyo baada ya kuwa ameliona sehemu Fulani kama lilivyokuwa.
Haya mambo yalikuwepo sana zamani.
hapo huwa siyo vyeti fekiInawezekana ni kama unavyosema, ni hayo mambo ya nyeti feki.
Kuna mwalimu wangu aliwahi kunambia kuwa jina lake lilichuliwa miaka hiyo baada ya kuwa amemaliza fm4 akapewa mtu mwingine ( bila ridhaa yake) na alisema hivyo baada ya kuwa ameliona sehemu Fulani kama lilivyokuwa.
Haya mambo yalikuwepo sana zamani.
achana nae.Tunakaa miji tofauti na huyu Dada Rabia na punde nimefafanuliwa kuwa kumbe aliacha shule darasa la sita kwa matatizo yao wanawake ila hapa nahisi kama imetumika hiyo fulsa kwa kuwa hamna muhitimu mwingine mwenye cheti mfano na jina kama hilo alilopora na ikafanywa namna ya kubadili hiyo herufi moja wasiwasi wangu tusije kuchafuliana majina ya watu
Ukishapata majibu yake inakuongezea nini?Naweza kuachana nae ila hili kwangu ningependa nione usahihi wake na sio kiwepesi kiivo