Naomba kufahamishwa juu ya sheria ya head to head

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,339
2,483
Habari wanajukwaa humu ndani. naomba kufahamishwa ni timu zipi zitakazofuzu kati ya hizi timu tatu ambazo zinalingana point. Inatakiwa kufuzu timu mbili tu.

Kuna timu A, timu B na timu C zote zina sawa sawa ila walipokutana wenyewe kwa wenyewe matokeo yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Mfano

1) Timu A vs Timu B matokeo 3:1
2) Timu B vs Timu C matokeo 2:0
3) Timu C vs Timu A matokeo 3:1
4) Timu B vs Timu A matokeo ni 1:1
5) timu A vs timu C matokeo 2:0
6) timu C vs timu B matokeo 1:0
7)Timu D vs timu timu A matokeo. 3:1
8)Timu D vs B matokeo 0:1
9) Timu D vs C matokeo 2:2
10) Timu A vs D matokeo 3:2
11) Timu C vs timu D matokeo 2:0
12) Timu B vs timu D matokeo 2:0
Je kwa matokeo ya aina hiyo juu timu ipi ambayo inatolewa kwa sheria ya head to head kati ya timu hizo tatu?
 
Hapo sheria ya head to head haitafanya kazi kwa sababu
A anapoints 7
C anapoints 6
B anapoints 4

Hivyo A na C watasonga mbele.
Hapo nimeweka tu mechi za hao wanaolingana point. Kuna timu moja ambayo ni timu D nimetoa nimebakisha wanaolingana point.

haya ngoja basi niongeze na timu D.

Mfano Timu D vs timu timu A matokeo. 3:1
Timu D vs B matokeo 0:1
Timu D vs C matokeo 2:2
Timu A vs D matokeo 3:2
Timu C vs timu D matokeo 2:0
Timu B vs timu D matokeo 2:0
 
Head to head kwa maneno mengine ni "ligi ndogo" ya wanaofungana ili kupata mmoja au wawili au wachache watakaonufaika na kitu fulani.

Within Head to Head chini yake kuna "criteria" kadhaa za kumpata mshindi baina yao.

Kwa kawaida orodha ya hizo "criteria" za kupata mbabe huwa zinakua ni:-
+Idadi ya pointi
+Goal difference
+Idadi kubwa ya magoli ya kufunga
+Idadi kubwa ya magoli ya kufunga ugenini
+Magoli ya mapema
+Masuala ya kinidhamu.
+N.k

Tuje kwenye mfano wako sasa.
Ili kupata washindi kwa kigezo cha H2H, kundi hilo lililokua na timu nne, linavunjwa na kubaki na timu tatu zinazofungana, kisha unatengenezwa msimamo "wa ligi ndogo ya wafananao au wafunganao".

Na mambo yatakua kama ifuatavyo:-

Team.....MP....W....D.....L........GD...Pts
1. A.........4........2.....1......1........+2......7
2. C.........4........2.....0.......2........-1......6
3. B.........4........1.....1.......2........-1......4

Kwa msimamo huu, A na C watanufaika na chochote kinachotakiwa kumnufaisha anayevuka hatua hii kwenda mbele.

Naomba kuwasilisha.
 
Nadhani hamjanielewa. Hapo mimi nimechukulia kuwa wote wako sawasawa point baada ya kila timu kucheza michezo sita. Ila sikuweka mchezo dhidi ya timu D kwavile nia yangu ni kujua juu ya sheria ya head to head kwa timu zinazolingana point. Basi tuchukue mfano michezo yote matokeo yapo namna hii

1) Timu A vs Timu B matokeo 3:1
2) Timu B vs Timu C matokeo 2:0
3) Timu C vs Timu A matokeo 3:1
4) Timu B vs Timu A matokeo ni 1:1
5) timu A vs timu C matokeo 2:0
6) timu C vs timu B matokeo 1:0
7) Timu D vs timu timu A matokeo. 3:1
8) Timu D vs B matokeo 0:1
9) Timu D vs C matokeo 2:2
10) Timu A vs D matokeo 3:2
11) Timu C vs timu D matokeo 2:0
12) Timu B vs timu D matokeo 2:0
 
Nadhani hamjanielewa. Hapo mimi nimechukulia kuwa wote wako sawasawa point baada ya kila timu kucheza michezo sita. Ila sikuweka mchezo dhidi ya timu D kwavile nia yangu ni kujua juu ya sheria ya head to head kwa timu zinazolingana point. Basi tuchukue mfano michezo yote matokeo yapo namna hii

1) Timu A vs Timu B matokeo 3:1
2) Timu B vs Timu C matokeo 2:0
3) Timu C vs Timu A matokeo 3:1
4) Timu B vs Timu A matokeo ni 1:1
5) timu A vs timu C matokeo 2:0
6) timu C vs timu B matokeo 1:0
7) Timu D vs timu timu A matokeo. 3:1
8) Timu D vs B matokeo 0:1
9) Timu D vs C matokeo 2:2
10) Timu A vs D matokeo 3:2
11) Timu C vs timu D matokeo 2:0
12) Timu B vs timu D matokeo 2:0
Sasa mkuu, inawezekana wewe ndio haujaelewa swali uliloliuliza.

Head to Head ni miongoni mwa TIE BREAKERS.
Yaani kuna watu wanafanana matokeo na wachache kati yao wanatakiwa wasonge mbele.

Sasa nimejaribu kufafanua kwamba kati ya hao waliofungana au kufanana na hawawezi kusonga mbele wote, wanapambanishwa wao kwa wao (HEAD TO HEAD) ili kupata wachache watakaosonga mbele.

Kwenye hiyo head to head, ndipo inatengenezwa ligi ndogo baina yao (excluding all others who are not involved in a tie).

Ukishatengeneza ligi ndogo baina ya hawa wanaolingana, ndio unaangalia parameters au criteria kama nilivyoeleza hapo awali.

Sasa naona wewe unaanza kuzihusisha timu nyingine (timu D) ambayo haipo kwenye mfungamano (tie).

Hapa ndio unaponivuruga kwamba kama hakuna waliofungana (tied teams), kwanini tunavunja mfungamano (breaking a tie) kwa kutumia HEAD TO HEAD kama uzi wako unavyouliza ?

Fafanua swali lako linataka nini labda we are missing a point.

Maana ukiweka na hiyo team D, ndio unapata msimamo ambao timu A, B na C zinafungana, na wewe unataka kupata timu mbili tu.

Kwa vyovyote vile iwavyo, fahamu kwamba Head to Head ni mpambano (league, battle) kati ya pande zinazohusika na kufungana, kufanana au kulingana.
Kwenye ligi ya Tz kuna timu 16.
Ila mwisho wa siku ikitokea Simba na Yanga zimefanana points na kigezo cha kuvunja mfanano (tie breaking) ni H2H, unatengeneza ka ligi ka timu 2 (Simba na Yanga) ndani ya ligi yenye timu 16.

Fafanua swali lako tafadhali.
 
Sasa mkuu, inawezekana wewe ndio haujaelewa swali uliloliuliza.

Head to Head ni miongoni mwa TIE BREAKERS.
Yaani kuna watu wanafanana matokeo na wachache kati yao wanatakiwa wasonge mbele.

Fafanua swali lako linataka nini labda we are missing a point.

Maana ukiweka na hiyo team D, ndio unapata msimamo ambao timu A, B na C zinafungana, na wewe unataka kupata timu mbili tu.

Kwa vyovyote vile iwavyo, fahamu kwamba Head to Head ni mpambano (league, battle) kati ya pande zinazohusika na kufungana, kufanana au kulingana.
Kwenye ligi ya Tz kuna timu 16.
Ila mwisho wa siku ikitokea Simba na Yanga zimefanana points na kigezo cha kuvunja mfanano (tie breaking) ni H2H, unatengeneza ka ligi ka timu 2 (Simba na Yanga) ndani ya ligi yenye timu 16.

Fafanua swali lako tafadhali.

Hapo ndipo kwenye msingi wa swali langu. Ukiangalia timu A, B na C wote wanapoint 10 Kwa maaana wanalingana point. Kila mashindano yana taratibu zake, kuna mashindano ambayo kwao H to H ni kipengele cha mwisho kabisa kama ikitokea kila goal difference inalingana. Ila mashindano mengine wanaangalia head to head ili kuamua anayesonga mbele. Mimi nimeomba kupata kujua timu mbili zitakasonga mbele ni zipi? Ni timu mbili tu ndio zinazotakiwa kusonga mbele. Matokeo ya wenyewe kwa wenyewe nimeziweka hapo juu.
 
Habari wanajukwaa humu ndani. naomba kufahamishwa ni timu zipi zitakazofuzu kati ya hizi timu tatu ambazo zinalingana point. Inatakiwa kufuzu timu mbili tu.

Kuna timu A, timu B na timu C zote zina sawa sawa ila walipokutana wenyewe kwa wenyewe matokeo yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Mfano

1) Timu A vs Timu B matokeo 3:1
2) Timu B vs Timu C matokeo 2:0
3) Timu C vs Timu A matokeo 3:1
4) Timu B vs Timu A matokeo ni 1:1
5) timu A vs timu C matokeo 2:0
6) timu C vs timu B matokeo 1:0
7)Timu D vs timu timu A matokeo. 3:1
8)Timu D vs B matokeo 0:1
9) Timu D vs C matokeo 2:2
10) Timu A vs D matokeo 3:2
11) Timu C vs timu D matokeo 2:0
12) Timu B vs timu D matokeo 2:0
Je kwa matokeo ya aina hiyo juu timu ipi ambayo inatolewa kwa sheria ya head to head kati ya timu hizo tatu?
We subiri tu ukiona Simba amevuka jua ndio timu A B C au D.

Kwanini tujadili mifano ya ABCD wakati Simba anavuka mzimamzima.
 
Hapo ndipo kwenye msingi wa swali langu. Ukiangalia timu A, B na C wote wanapoint 10 Kwa maaana wanalingana point. Kila mashindano yana taratibu zake, kuna mashindano ambayo kwao H to H ni kipengele cha mwisho kabisa kama ikitokea kila goal difference inalingana. Ila mashindano mengine wanaangalia head to head ili kuamua anayesonga mbele. Mimi nimeomba kupata kujua timu mbili zitakasonga mbele ni zipi? Ni timu mbili tu ndio zinazotakiwa kusonga mbele. Matokeo ya wenyewe kwa wenyewe nimeziweka hapo juu.
Head to head ni lidude kuuuuuuuuuuuubwa. Linalojumuisha timu zilizofungana. Ambalo ndani yake lina makolokolo meeeeeeeeeeeeeengi baina ya timu zilizofungana.

Hadi hapo unakubaliana au umenielewa nilichokimaanisha ?

Head to head inazihusisha timu gani ?
 
Head to Head

Mfano:
Mwanza points 9
Kigoma points 9

Wamelingana kila kitu.

Ila matokeo ya mechi zao yalikua hivi

Mechi ya kwanza

Mwanza 3 : Kigoma 1

Mechi ya pili

Kigoma 3 : Mwanza 0

Kigoma atakua juu ya Mwanza kwasababu alifunga magoli mengi dhidi ya Mwanza.
 
asa kwenye huo mfano ongeza timu moja ili ziwe timu tatu zinazolingana
 
Head to head ni lidude kuuuuuuuuuuuubwa. Linalojumuisha timu zilizofungana. Ambalo ndani yake lina makolokolo meeeeeeeeeeeeeengi baina ya timu zilizofungana.

Hadi hapo unakubaliana au umenielewa nilichokimaanisha ?

Head to head inazihusisha timu gani ?
Hapo kiongozi sijakumanya
 
We subiri tu ukiona Simba amevuka jua ndio timu A B C au D.

Kwanini tujadili mifano ya ABCD wakati Simba anavuka mzimamzima.
Huu uzi una husiana nini na habari ya Simba? Wabongo aisee tunasafari ndefu sana juu ya akili za usimba na uyanga. Utafikiri watu wamelogezewa na hizi timu za kariakoo kiasi kwamba mawazo yamebakia kwenye uyanga na usimba hata kwa vitu visivyo husiana. Ni aina ya ulevi huu
 
Hapo ndipo kwenye msingi wa swali langu. Ukiangalia timu A, B na C wote wanapoint 10 Kwa maaana wanalingana point. Kila mashindano yana taratibu zake, kuna mashindano ambayo kwao H to H ni kipengele cha mwisho kabisa kama ikitokea kila goal difference inalingana. Ila mashindano mengine wanaangalia head to head ili kuamua anayesonga mbele. Mimi nimeomba kupata kujua timu mbili zitakasonga mbele ni zipi? Ni timu mbili tu ndio zinazotakiwa kusonga mbele. Matokeo ya wenyewe kwa wenyewe nimeziweka hapo juu.
Kwanini unarudia rudia kwamba timu zote A, B na C zina pointi 10.

Maana hii kila mtu anajua ndio maana umekuja swali la kwamba je, tunapataje wawili kati ya hao watatu wenye pointi 10, kwa kutumia H2H.

Sasa kwenye head to head utaratibu ni kwamba hao wenye pointi 10, yanaangaliwa matokeo ya walivyocheza wao kwa wao (mechi zote zilizowahusisha "wenyewe").
Yaani
A vs B,
Bvs A
A vs C,
C vs A
B vs C
C vs B

Matokeo hayo yanatengenezewa msimamo.
Kwenye huo msimamo ndipo kwa matokeo yako uliyoyaleta katika uzi ni kwamba:
A anakua na pointi 7,
C anakua na pointi 6
B anakua na pointi 4

Hivyo basi kwa matokeo ya head to head (kati ya A, B na C) ni kwamba A anatakiwa kuwa juu, anafuatiwa na C na kisha B anafuata. Lakini kwenye msimamo mkuu hawa wote wana pointi 10.

Kundi litakua hivi:
1. A pt 10
2. C pt 10
3. B pt 10
4. D pt .....

Wawili watakao songa mbele ni A na C kwa sababu ya matokeo yao mazuri kwenye ule msimamo wa "Head to Head".

Usipoelewa hapa, naleta wazungu.

Google sentensi hii

How does head to head break a tie of three teams
 
Back
Top Bottom