Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
Tafadhalini sana wakongwe kuna wimbo uliimbwa sikumbuki kama msondo ngoma au band gani ila KIITIKIO jamaa kwa sauti kali yenye kipaji cha hali ya juu aliimba
"Hili ndilo fundisho kwa wengine watakaokuja uwape haki na heshima sawa na uache kuwadharau, Mungu amekuumba amekubariki isiwe sababu ya kunyanyasa wengine na kwadharau"
Naomba nijue jina la wimbo kwa miaka kadhaa nimetafuta sijaupata sikumbuki band gani iliimba