Naomba kufahamishwa kama kuna tofauti yoyote kati ya kozi hizi za ufundi

Poluyakhtov

JF-Expert Member
May 9, 2017
337
250
Habari za muda huu wadau wa Elimu Tanzania.

Bila kupoteza muda,nimekuwa nikipitia Guide book ya NACTE mara kwa mara ili kutafuta kozi ya kusomea.

Lengo langu ni kusomea CIVIL ENGINEERING ngazi ya Astashahada na hapo baadaye panapo majaliwa nitasoma ngazi za juu zaidi.

Sasa katika upitiaji wangu nimekutana na kozi ya " BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN CIVIL ENGINEERING AND COMMUNITY DEVELOPMENT ambayo inatolewa chuo cha MABUGHAI COMMUNITY DEVELOPMENT
TECHNICAL TRAINING INSTITUTE - LUSHOTO.

Hivyo basi naomba kufahamishwa kama kuna tofauti yoyote kati ya kozi hiyo na hizi za CIVIL ENGINEERING zinazotolewa DIT,ATC,KIST na MUST.

Alasiri njema.
 
Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
928
1,000
level zinaweza kutofautiana , Lushoto inaweza kuwa ni certificate(cheti) tu,,,, Na hizo za DIT , ni Degree level (shahada) kwa siku hizi diploma ya CIVIL Eng sijaisikia sana,,

Je wewe umehitimu level ipi ? form 4 au form 6 au una certificate ?
 
IV
 
Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
928
1,000
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 25 na unajiweza vizuri english nakushauri nenda TCU kabla ya tarehe 24.6.2017 uombe kufanya mtihani wa kujiunga na degree RPL - Recognition of Prior Learning , ukifaulu utaingia chuo chochote kuchukua degree, sifa za kufanya mtihani huo ni 1. darasa la saba 2. umri zaidi ya miaka 25,,, 3. uwezo wa kuoma na kuandika vema ENGLISH 4 . uwe na nia ya kusoma chuo kikuu
 
malipo kiasi gani mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom