EXTERMINATOR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 343
- 90
Kwa anayefahamu, hasa wanaofanya kazi kwenye sekta ya mawasiliano naomba kujuzwa kuhusu hili:
Hizi namba special mfano 15542, 15656 n.k zinasajiliwa kwa watu binafsi pia na matumizi yake ni sms tu au hata kupiga? Iwapo nahitaji nitaipata kwa kampuni gani ya simu au kila kampuni lina namba zake? Gharama zake zinakuwaje?
Wadau wenye ufahamu naomba mnisaidie kuhusu mawsali yangu haya.