M 12 kwani ni kanisa unajenga?Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani...
Na hapo bajeti yako unakuta ilikuwa milioni 5.Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani?
kaniambia mil 12,
kidogo nizimie...
ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia sh ngapi kwenye msingi
Gharama zinategemeana na na size ya nyumba, Layout ya kiwanja na asili ya udongo wa hapo unapojenga.Inategemeana inaweza kufika au ikazidi inategemea unajenga msingi wa aina gani wa kumwaga zege au bila zege, inategemea kiwanja kipo eneo gani tambarale au bondeni
Kama unajenga kule olele hiyo ndiyo gharama yake. Nunua materials yote , tafuta fundi mpe Sh 300 kwa tofaliHabari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani...
Naelewa mkuu sote tumepita huko huko. Usione leo tunajifanya wajanja.yes mkuu around hivyo.
5M na kuendelea, msingi wa kiwangoHabari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani...
M 12 kwani ni kanisa unajenga?
Aiseee hiyo hela ni mingii.. nmejenga msingi juzi tu kwa 4.9M, nyumba vyumba 3, viwili self-cointained, sebule, dining, kitchen na parking... Wasikutishee..Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani..
Gharama ya msingi inategemea uko wapi, ardhi mutakapojenga. Ukiwa Dar simenti bei choni lakini msingi una gharama. Ukiwa mikoa ambayo simenti ni sh 21,000 hapo unaona utakavyolika. Msingi unaweza kuwa kati ya million 8-12.Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani...
Aiseee hiyo hela ni mingii.. nmejenga msingi juzi tu kwa 4.9M, nyumba vyumba 3, viwili self-cointained, sebule, dining, kitchen na parking... Wasikutishee..
Hii hapa budget yangu Vs Actual.. tena hapo cement nimepigwaa.. 15,000/ mpaka site sio 16,000/duh asante sana mkuu, umenipa mwanga
Mkuu nyumba yako ina ukubwa gani kwa maana ya eneo sqm vyumba vingapi na eneo lipojeHii hapa budget yangu Vs Actual.. tena hapo cement nimepigwaa.. 15,000/ mpaka site sio 16,000/
View attachment 1926030
Nenda kajenge kakaa, wasikukatishe tamaa... narudia tena.. nenda kajenge kijana mwenzanguuu.. na Mungu akutie nguvu kwenye hilo..
Wengi wanaficha ukweli. Ilimradi tu wakukatishe tamaa. Asante mkuu.Hii hapa budget yangu Vs Actual.. tena hapo cement nimepigwaa.. 15,000/ mpaka site sio 16,000/
View attachment 1926030
Nenda kajenge kakaa, wasikukatishe tamaa... narudia tena.. nenda kajenge kijana mwenzanguuu.. na Mungu akutie nguvu kwenye hilo..