Naomba kufahamishwa bei ya semi-trailler

Naomba kufahamishwa bei ya semi-trailler

Wanajamvi naomba anaejua bei ya semitrailer kama zile zinazosafirisha mbao kutoka Iringa anifahamishe. Naomba bei ya kichwa na ile flatbed. New and used. Asanteni
Mkuu hadi mwezi wa tatu mwishoni ilkuwa ni milion 80!! Kichwa tuu!!ila ile treiler ni ni 220 milion kama ukiagiza kenya (mombasa)hadi kufika hapa!!ila kwa ushauri zaidi kama uko dar!nenda vingunguti pale scania kwa maelezo zaidi nadhani pale utapata mwongozo zaidi!!
 
Milioni 50 nakupa kichwa na trela maongezi yapo!
 
Mkuu unataka semi gani? Scania au kia? Scania kuanzia £14,000 - nakuendelea, usafirishaji ni £4500, kama unataka nipe number ya scania nikupe bei exactly.
 
Back
Top Bottom