Naomba kufaham top best students wa mwaka huu form four

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Embu tuwekeeni na ile list pendwa ya wale wanaozidi kutupokea vijiti sisi ma TO wa zamani.. Nina hamu kuwajua vipanga wenzangu.

Tusionane wa kawaida humu watu tunahistoria zetu chafu chafu sana kwenye hii tasnia ya elimu ya darasani
 
Ma TO wa Ukweli ni hawa hapa
Mengi
Bakhresa
Mohamed Dewji
Ali Mfuruki nk
Hawa ndo Ma TO
 
Mtafute mushi akutom kama username yako inavyojieleza.

Sijui alikubikini mlipokuwa mashuleni huko!??
 
Sawa mkuu, unaamua kunitukana bila sababu ya msingi.. Usirudie kufanya hivo tena , hiyo tabia itakuja kukucost big time..
 
Nimeona Namba mbili Ni mdada... Anaitwa Cynthia Nehemia Mchechu.. Kutoka st Francis... Inawezekana akawa Ni mtoto wa Bwana Nehemia Mchechu wa NHC
 
Embu tuwekeeni na ile list pendwa ya wale wanaozidi kutupokea vijiti sisi ma TO wa zamani.. Nina hamu kuwajua vipanga wenzangu.

Tusionane wa kawaida humu watu tunahistoria zetu chafu chafu sana kwenye hii tasnia ya elimu ya darasani
2.JPG

Hawa hapa
 
Nashauri Wizara ya Elimu iombe muongozo kutoka Idara ya Elimu Kanisa Katoliki jinsi ya kuboresha shule za Serikali na Elimu yetu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom