Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,180
- 4,683
Yakoje mkuuMaisha baada ya uchaguzi.
Upo nchi gani mkuu au ubongo wako unashindwa kuchakata mambo kwa ufasaha?Yakoje mkuu
Sara zako na zitupiliwe mbali, hatuwezi kumnyenyekea muuaji wa taifa, ila mungu ni mwema leo nimefanikiwa kuona coment yako ya dhahabu maana nimezoea kuona like pekee.Jobless Mimi ambae mpaka nazeeka sina ajira!! Mi naomba Mama samia anikumbuke kwa tsh million tano nianze ufugaji. wasaidizi wake mliopo humu jf nifikishieni taarifa zangu.
Shalo acha roho mbaya kuniombea mabaya!!!!!!!Sara zako na zitupiliwe mbali, hatuwezi kumnyenyekea muuaji wa taifa, ila mungu ni mwema leo nimefanikiwa kuona coment yako ya dhahabu maana nimezoea kuona like pekee.
Huo mpango siungi mkono, usije kuambiwa unapelekwa Ikulu kumbe unaenda kuuzwa maini+figo Saud arabia, labda kama huna husband usogee tuyajenge nikupatie mahera uachane na samuya.Shalo acha roho mbaya kuniombea mabaya!!!!!!!
Nasubiri Maza anione hapa nipelekwe ikulu kupokea mpunga nipigie picha
Figo zangu hizi madaktari watazikataa wenyewe maana zinanuka alcohol...Huo mpango siungi mkono, usije kuambiwa unapelekwa Ikulu kumbe unaenda kuuzwa maini+figo Saud arabia, labda kama huna husband usogee tuyajenge nikupatie mahera uachane na samuya.
Mimi siyo mganga wala sijawahi kumiliki tunguli mimi na masharti wapi na wapi sasa, anyway fanya mpango tukutane tupeane mawazo mbili tatu then nikupatie huo mpunga bure kabisa.Figo zangu hizi madaktari watazikataa wenyewe maana zinanuka alcohol...
Husband ninaye na hela nataka,,,,, acha tu mama anione hizo zako za masharti siziwezi
Wewewee!!!! Masharti si hayo maulizo mara una mume???!Mimi siyo mganga wala sijawahi kumiliki tunguli mimi na masharti wapi na wapi sasa, anyway fanya mpango tukutane tupeane mawazo mbili tatu then nikupatie huo mpunga bure kabisa.
Milion 5 kwa simu! Siri-kali itaanza kunifatilia na kunibambikia kesi ya uhujumu uchumi, wewe tukutane nikupatie keshi uzuri sinaga tamaa za kipuuzi maana mimi ni mtakatifu pale MT Adrew.Wewewee!!!! Masharti si hayo maulizo mara una mume???!
We kunipa mpunga mpka tuonane???? Sema nikupe namba ya wakala fasta
DuuhJobless Mimi ambae mpaka nazeeka sina ajira!! Mi naomba Mama samia anikumbuke kwa tsh million tano nianze ufugaji. wasaidizi wake mliopo humu jf nifikishieni taarifa zangu.
Mkuu nimekosa majibuUpo nchi gani mkuu au ubongo wako unashindwa kuchakata mambo kwa ufasaha?
HahahahaMilion 5 kwa simu! Siri-kali itaanza kunifatilia na kunibambikia kesi ya uhujumu uchumi, wewe tukutane nikupatie keshi uzuri sinaga tamaa za kipuuzi maana mimi ni mtakatifu pale MT Adrew.
Duu nn???Duuh
Nimechoka mimiDuu nn???
Sijajua ni kwanini uchawa hadi kwenye vitu muhimuDuh,
Uchawa umerasimishwa mno.
Wanajua muuaji hatakiwi wanajitahidi kumpamba