Sawa kiongozi nimekuelewa, tuna mtoto mmoja, alienda masomoniMwanamke asipokutana na mwanaume hata miezi miwili tu ,uke wake hujikusanya na kurudi kitaiti.
Kwa miezi mitano nilitegemea sio TU kuwepo kwa maumivu uloyazoea bali hata k ingekua inabana sana .
Kwa maelezo yako , Bila kukupesa macho umegongewa sana tu.
Alafu sikia...Miezi mitano kweli , ilikuaje mmetengana kwa muda wote huo wa miezi mitano??? Hamjazaa ??
Bwanaee.. Wamekutombea ....Fanya ivi, Iwe kwa kuomba au kulazimisha chukua simu yake... ( Ile reaction yake nitakupa jibu.)
Kama unamuogopa, Mbadilishie laini, weka laini Mpya ,alafu mkopie majina kama yalivyo ili asijue kama laini imebadilika.
Alafu ya kwake kaa nayo..ni ndani ya siku 1 tu utakua umepata jibu hata kabla ya yeye kujua kabadilishiwa laini...nahata akijua kabadilishiwa, Asikupande kichwan , Unakaza sauti.
Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, mwanzoni wakati wa sex ilikuwa siwezi ingiza mashine yote kwani nilikuwa nagusa sehemu na anaumia, alisafiri miez mitano sasa karudi, saiz naingiza yote na halalamiki, sasa sijaelewa kina chake kimeongezeka au kuna nn hapa???. Msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Blaza. Inasikitisha sana aisee.. Ninavyojua mimi kisu kisipotumika kinapata kutu. Sasa Wewe kisu chako hakijatumika halafu ndio kimeongezeka makali. Hahaha kuna mtu kakitumiaNina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, mwanzoni wakati wa sex ilikuwa siwezi ingiza mashine yote kwani nilikuwa nagusa sehemu na anaumia, alisafiri miez mitano sasa karudi, saiz naingiza yote na halalamiki, sasa sijaelewa kina chake kimeongezeka au kuna nn hapa???. Msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo shida ya kuolewa na wanaume unmatured....Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, mwanzoni wakati wa sex ilikuwa siwezi ingiza mashine yote kwani nilikuwa nagusa sehemu na anaumia, alisafiri miez mitano sasa karudi, saiz naingiza yote na halalamiki, sasa sijaelewa kina chake kimeongezeka au kuna nn hapa???. Msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah..hii comment inahuzunisha sana.Unakubaliana na yote tu mkuu.kama ya kukata tamaa flan hiv..Muhimu awe anakuheshimu na kukujali tu hivyo vingine ukiwaza sana utajipa stress tu.