Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,930
- 4,004
Kwenda kwake kupiga kura hakufanyi awe deep state,deep state wao ndio wanaochagua,mpiga kura yeye anabaki kuwa mpiga kura tu,Hata wewe ni deep state mkuu, usijione mtu mdogo hata kidogo! Deep state ni wapiga kura ndo wanaamua nani awe kiongozi na nani asiwe kiongozi.
Siku ya kupiga kura nenda kapige kura, utakuwa mwanachama wa deep state!...
Hata wewe ni deep state mkuu, usijione mtu mdogo hata kidogo! Deep state ni wapiga kura ndo wanaamua nani awe kiongozi na nani asiwe kiongozi.
Siku ya kupiga kura nenda kapige kura, utakuwa mwanachama wa deep state!
Tembea kifua mbele mkuu kama tu una kadi ya kupiga kura wewe ni deep state!
Asikutishe mtu mkuu, akikutisha mwambie
Hata wewe ni deep state mkuu, usijione mtu mdogo hata kidogo! Deep state ni wapiga kura ndo wanaamua nani awe kiongozi na nani asiwe kiongozi.
Siku ya kupiga kura nenda kapige kura, utakuwa mwanachama wa deep state!
Tembea kifua mbele mkuu kama tu una kadi ya kupiga kura wewe ni deep state!
Asikutishe mtu mkuu, akikutisha mwambie hujui mimi ni deep state, na kadi ninayo hii hapa!
Maisha marahisi sana, sisi ndo tunafanya tu mambo kuwa magumu! Unaweza kuwa kila utakacho ni wewe tu😂😂😂
hujui mimi ni deep state, na kadi ninayo hii hapa!
Maisha marahisi sana, sisi ndo tunafanya tu mambo kuwa magumu! Unaweza kuwa kila utakacho ni wewe tu
Mmmmmh mpiga kura ni Deep State? 😂😂😂 Hapana ingekuwa hivyo uchaguzi wa mwaka jana 2020 mpo
imhotep boss wangu natamani ufunguke zaidi nipate elimu zaidi, hii jamii ya siri inaundwa na watu gani hasa, je ni viongozi wastaafu au ni watu gani hasa? Natamani ufunguke zaidi mkuu.Deep State, kwa mtizamo wangu ni Jamii za siri ndani ya Taifa inahusisha mlolongo mrefu
Ile sipendi kujiingiza kwenye conspiracy theories ambazo ni rahisi kuwa mwendawazimu mbele ya jamii iliyokubali yaishe.
NDABANINGI SITHOLE usemayo yanaakisi ukweli, hisia zangu zinanituma mtu akisha kupendekenzwa na Deep State kuwa mgombea urais huyo ndiye huwa ni mshindi hata sanduku la kura lisemeje.Kwenda kwake kupiga kura hakufanyi awe deep state,deep state wao ndio wanaochagua,mpiga kura yeye anabaki kuwa mpiga kura tu,
imhotep boss wangu natamani ufunguke zaidi nipate elimu zaidi, hii jamii ya siri inaundwa na watu gani hasa, je ni viongozi wastaafu au ni watu gani hasa? Natamani ufunguke zaidi mkuu.
Hilo nikweli kabisa na nahisi deep state ni kijaniNDABANINGI SITHOLE usemayo yanaakisi ukweli, hisia zangu zinanituma mtu akisha kupendekenzwa na Deep State kuwa mgombea urais huyo ndiye huwa ni mshindi hata sanduku la kura lisemeje.
Issa Hakimu deep state ni kijani,Mwamba anaogop jela
Hilo nikweli kabisa na nahisi deep state ni kijani
ruhi naam natamani kujua uwepo wao, shughuli zao, idadi yao, je wao ni zaidi ya TISS au taasisi ya urais au ni wadogo sana, kwani nakumbuka kama sikosei kabla kama miaka minne nyuma ya uchaguzi wa mwaka 2015, mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la MAGAMBA MATATU km sikosei alileta post humu akielezea mgombea urais ajaye 2015 huenda ni Jpm na alichora ramani utawala wake utakuwa wa aina ipi na ni kweli ilikuja kuwa vile vile alivyosema mambo kumi na karibu yote wakati wa Jpm yalitukia.Amna deep state hapa Tanzania; kuna baadhi ya nchi ndiyo wana deep state. Sijajua kama ulitaka kujua uwepo wake kwa hapa Tanzania? au ata huko nchi za mbali.
Deep state ni muunganiko wa baadhi ya watu ambao hawaamini katika chochote kinachoendelea isipokua wanachoagizwa kukitenda au kukifanya bila kujua faida na hasara.
Pia wanaandaliwa tokea wakiwa na miaka 10 kwani wanakua hawaamini chochote ata kile wanachoweza kuambiwa na wawazi/walezi wao isipokua wanachotumwa kukifanya...maelezo ni mengi sana
Kikubwa ni kua Tanzania bado hatuna deep state.
Wakuu wale kwenye kile cham cha kina bashiruIssa Hakimu deep state ni kijani,
Je! ni kijani kipi hicho?
Ok, shukurani.Kwakweli siwezi kujua zaidi